Friday 8 January 2016

WANAFUNZI CHUO KIKUU UDSM WANAKUALIKA



Wanafunzi wa chuo kikuu Dar Es Salaam wanakualika katika perfomance yao ya maigizo ya jukwaani na ngoma za asili katika chuo icho.Amb
apo michezo hiyo imeongozwa na watu mashughuli kwa sanaa nchini Tanzania Dr Shule, Daines na Dr Ndibalema
ambapo wataigiza tarehe 13/01/2016 eneo ni fpa karibu na UDBS saa kumi jioni. Mchezo huu unajumuisha wazawa na wageni kutoka ulaya kiingilio ni bure karibu ujioneee 

0 comments:

Post a Comment