Eeeeh zombiee acha iyo!
He one two one two eh maiki cheki (maiki cheki)
Tunajump jump eh kama kitenesi
Eh! Kama kalambwanda nda nda kalambwasi
Na kama huna msambwandaa usingie kati (Ayeee)
Alulue alulueee Alulue alulueee
Aah Kama mtu hachezi mzabue umzabue tumzabue
Sema Alulue alulueee Alulue alulueee
Kama mtu hachezi tumtoee Tumtoe tumtoe
Chorus
Eh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa ta mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagika
Mpaka chini mpaka chini mpaka chini
Amina amina na mwajuma
Wanaringa hawa kima
Kumbe wanauza
Usiseme hivyo
[Verse 2]
Kilode kilode kilodee
Watoto wadogo wanataka nipotee
Haa! Labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee
Hee! Shindo langu mimi mjikusanye wote
Haya sеma shkamoo dada Shkamoo dada
Shkamoo kaka Shkamoo kaka
Mniamkie shkamoo mama Shkamoo mama
Shkamoo baba Shkamoo baba
Alulue alulueee Alulue alulueee
Aah Kama mtu hachеzi mzabue Tumzabue tumzabue
Sema Alulue alulueee Alulue alulueee
Kama mtu hachezi tumtoee Tumtoe tumtoe
Chorus
Eh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza Sagarumba
Aah twende maftaaa taa mafta taa mafta ta Yana nini
Yamemwagika yamemwagika yamemwagika Eti mpaka wapi
Mpaka chini mpaka chini mpaka chini (Mamaaa

Comments
Post a Comment