Tuesday 9 February 2016

ZARI NA MAKALIO FEKI NIHATARI


Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi. Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo yeye na mwenzi wake Diamond wameingia mkataba wa kulitangaza bibie Zari alipigilia kigauni matata chekundu.


Hafla hiyo imezua minong'ono mingi kuhusu Zari wengi wakidai ni mzee kuliko anavyopost picha zake yeye mwenyewe (too much editing) maana wadau waliokuwa pale walimpiga picha original ambazo zimezua kizaazaa.
Achana na hilo la sura balaa kubwa lipo kwenye shape aliyoonekana nayo Zari kwenye hafla hiyo kuwa tofauti na ile tuliyoizoea hadi wadau kuhoji je bibie Zari nae ni mdau wa kigodoro? (kuvaa nguo za ndani zilizotuna kuboresha muonekano wa shape)

0 comments:

Post a Comment